[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Kumekuwa na kauli nyingi sana zinazotolewa na makada wa vyama vya siasa na wengine wakidai kuachana na vyam fulani fulani wakitumia majukwaa ya vyombo vya habari kuwahadaa watanzania. Ninachokiamin hakika watanzania tumekuwa waelewa kiasi kwamba kudanganywa kwa sababu ya ushabiki wao wa vyama hivyo umepungua japokuw ni changamoto kubwa sana hukokwetu vijijini hasa vyombo vya habar vinavyosikika ni radio na fununu kadhaa kwa wale wanaotumia mawasiliano ya simu kwa kutumiana jumbe ama za kweli na zingine kupeana vijembe vya hapa na pale.
Mtanzania tumia nafasi yako hii kwa mara nyingine vizuri na si kwa kuhadaliwa na interests ya watu fulan fulan na ushawishi wao katika vyama hivyo vya siasa. Watanzanai tunguke na tuwe macho katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi.
Kuna suala la kupiga kura na kuelekea majumbani mwetu au kukaa mita 200 toka kweny vituo vya kupigia kura! This is an Critical isue which has rises a lot of questions ama kwa kusabaishwa na vyama vyetu vya siasa na hata pia NECkwani kama vile chombo hik cha uchaguz hakijiamin kwa kuzidi kutoa maangalizo ambayo kimsingi ni wajibu wao lakin kwann wawe na wasiwasi kias hicho nadhan wanatakiwa kuja na majawabu juu ya dukuduku hili kwan wakati mwingine linaleta mashaka kidogo kwa nn wanalisisitiza sana hili? Huko ni kukosa kujiamin wao (NEC) waendesh uchaguz kwa kujiamin na kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki na amani.
Angalizo napenda NEC itoe kauli juu ya wagombea wa vyama vyote vya siasa (hasa wa Ubunge na Madiwani ambao wako karibu zaidi na vituo hivyo)kuhusu kuonekana katika vituo vya kupigia kura mara baad ya wao kupiga kura zao WASIONEKANE KATIKA VITUO HIVYO MARA TU BAADA YA KUPIGA KURA ZAO HIZO! Kwanini hili nalisema, moja Waiamini NEC na wasimamizi ambao watakuwa wameapishwa kufany kazi hiyo kwa uaminifu na pili kuwaaminisha wananchi ili kuondoa hoja ya kuwahadaa wasimamizi na wawakilishi wa vyama vya siasa katika votuo vya kupigia kura.
KILA LA KHERI WATANZANIA KATIK UCHAGUZI HUU, AMEN, AMEN, AMEN! PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW =>
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>
Loading...


Post a Comment