Loading...

CCM NA CHADEMA WAGOMBEA WAO WAKIMBILIA MITINI (MDAHALO)

[1.5MB] download video ya LULU akiwa bafuni anaoga ==>
Siyo jambo la kushangaza kuona vinara wa vyama viwili CHADEMA na CCM wagombea wao wao

wakimbilia mstuni. Kama ni mfuatilija wa siasa za Tanzania ili siyo jambo la Ajabu Sana kwani hata

chama/vyama fulani vilikimbilia mitini wakati wa HARAKATI MAJIMBONI 2010. Watanzania

tujifunze kwamba wanasiasa wetu siyo wakweli. Wengine walipromise tena kwa kujigamba

majukwaani wakiahidi kwa kujigamba wagombea wao wako tayari kwa midaharo. Makada hawa pia

walionekana katika Runinga na Vyombo Vingine vya habari wakipiga propaganda hizi, tena kwa

madaha na majigambo. Kweli waswahili usema maneno matupu hayavunji mfupa, na palipo na

ukweliuongo hujitenga hili limejitokeza tena. Kwa kumbukumbu zangu za mwaka 2010 ziliwafanya

watu fulani fulani ajira zao kukoma. Je huo ndio uzalendo na uadlifu na

uchapakazi,............................ UTAJAZA MWENYEW!!!!!!

                                                     Tanzania PICHA CHAFU ZA WANAFUNZI WAKIFANYA UCHAFU ZAVUJA FACEBOOK SEE PHOTOS BELOW => KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>

Post a Comment

CodeNirvana
Older Posts
© Copyright shezzy taifa kubwa | Designed By Hisia za Mwananchi
Back To Top